Kiasi gani ni kupita kiasi? Hilo ndilo swali ambalo wengi nchini India wanauliza huku sherehe za harusi ya mtoto wa kiume wa tajiri mkubwa zaidi barani Asia, ikiingia awamu ya mwisho. Sherehe hizo ...
Maharusi waliowasisimua wengi baada ya kutumia Sh100 pekee za Kenya kugharimia harusi, wameandaliwa sherehe ya harusi ya kufana jijini Nairobi. Sherehe hiyo ya marudio imeandaliwa katika bustani ya ...